OGOPASANA JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 262 Reaction score 144 Oct 31, 2010 #1 kwanini Baraza la sanaa la taifa na wizara ya utamaduni isiendeleze viduku na mapanga ya TMK kuwa sehemu ya nembo ya taifa (dance) katika mataifa mengine...kama ilivyo kwaito ya south africa au ile ya africa magharibi?
kwanini Baraza la sanaa la taifa na wizara ya utamaduni isiendeleze viduku na mapanga ya TMK kuwa sehemu ya nembo ya taifa (dance) katika mataifa mengine...kama ilivyo kwaito ya south africa au ile ya africa magharibi?