Mnakera wanaume wakorofi

Sikatai, kashambulia wanaume wote. Lakini kumbuka wakati mwingine watu huendeshwa na hisia zaidi, hasa wanawake. Tunatakiwa kulijua hilo, kumrekebisha na kutambua kuwa haya mambo yanatendeka huko maofisini.
Yupo sahihu ka kwa mtazamo wangu, watu wanakuja na stress ba kuwaymiza wengine kihisia huko makazini...sio fea kabisa.
 
Huyu lazima atakuwa sekretari
 
Kwani yeye hajui kuwa kazini kuna challenge

It depends na watu my dear. Some of them are so ignorant they don't care. So what we have to do is to act professional dear. Always customers are right . Kuna wengine wanakuja na stress zao kutoka majumbani or makazini nakadhalika. Dear once you know Customers' Psychology you will be stress free, there are so many techniques to use for them..And always be patient with customers, love and have passion with your job this helps too not to get angry easily . Remember always customers have right and your job is to be or act a professional .Thanks !
 
Kwanza najiuliza hiyo kazi umepewaje wakati hata kuandika hujui

Naanza kuona huyo bosi wako ana haki ya kukutusi [japokuwa sio sahihi lakini kuna watu wanaelewa zaidi ukiwatusi] maana unaonekana hata hujui kazi zako wala majukumu yako ....!

You tell her!!!
 
sijakuambia unifundishe kazi infact am talking to MEN not u

Nitajibu na nakujibu kama.ifuatavyo.....hujui majukumu yako na hujui jinsi.ya kufanya kaz yake mengine sio ya kuelezea au kuomba ushaur ni akili yako tu hiv kw uelewa wako hu ukiambiwa kula kinyesi kikubwa utakula??????
 
Watu kama hao lazima tuwe nao katika jamii....assume kuwa wasingekuwepo dunia ingekuwaje? lazima wachangamshe jamii...bye...
 

My dear pole sana. Hiki kitu ni lazima ukutane nacho makazini na sehemu zozote hapa duniani kwa sababu Tuko tofauti sana hasa kitabia. Dear just take it as a challenge , and do not take too personal . Try your best to be a professional to present yourself and your company well . Thanks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…