KATIBU MUHTASI
Member
- Aug 26, 2014
- 56
- 17
I hope u guys are all good.
jamani am fed up with these men wanaokuja ofisini na mahasira sjui wanatoka nayo wapi. hivi mnajua ni kiasi gani mnatuumiza wenzenu na ukiangalia sisi ni kama mabinti zenu mnashindwa kutuheshimu mnakuja na miattitude unafoka as if am the one nazuia hiyo cheque kutoka ama whatever unafatilia hapa or any office utayoenda.
mnatupa hard times mnatudharau mtu hataki kukuona inakua world war II kwangu kashfa zote unamalizia kwangu si muwafokee wanaume wenzenu ni wao wanaotuagiza tuwajibu hivyo, after all these years of technology bado kuna watu wanatuachia maagizo na card mnapewa hamtaki kuwapigia makusudi tu ili upate sababu ya kutufokea.
mkitutongoza tukikataa :flame: ni kiama kabisa staki hata kuelezea hivi mkoje nyie???? sjui hata mmelelewa vipi kila mtu ana stress zake ila kututolea watoto wa wenzenu its not cool at all:angry:
Si ndo hapoHaya unamueleza nani?
nakueleza wewe apo u r one of themHaya unamueleza nani?
mbona unapanic?? hii si thread tu nothing personal my dear au siruhusiwi kutoa ya moyoni??Si ndo hapo
Kamuacha HRO wake ofisin.kaja huku kutoa povu kwani hajui secretarial duties na responsibilities zake
sijakuambia unifundishe kazi infact am talking to MEN not uDada sekretar hukusoma office.duties and responsibilities au secretarial.duties??? Wageni au wafanyakaz wakiwa hivo n.akili.yako tu mtu akikukaripia muangalie akikujibu muangalie wala.usimjibishe na ukikerwa zaidi si.yupo afisa rasilimali wenu mfate ukashtaki
Anaieleza hadhira, hii ndio jamii inayofanya haya mambo...we ulitaka achukue tarumbeta atembee nalo kutoa dukuduku...this's the right place..pamoja na kumwambia HR wake..!Si ndo hapo
Kamuacha HRO wake ofisin.kaja huku kutoa povu kwani hajui secretarial duties na responsibilities zake
Si ndo hapo
Kamuacha HRO wake ofisin.kaja huku kutoa povu kwani hajui secretarial duties na responsibilities zake
sijakuambia unifundishe kazi infact am talking to MEN not u
Anaieleza hadhira, hii ndio jamii inayofanya haya mambo...we ulitaka achukue tarumbeta atembee nalo kutoa dukuduku...this's the right place..pamoja na kumwambia HR wake..!
nakueleza wewe apo u r one of them