Anabadilika na mmesainishana mkataba wa namna ya ku run hio business na makubaliano?Be care mkuu, wenzako walibadilikiwa kuwa waliuziana kuwa makin sana ardhi sio kitu Cha kuleta mzaha unge kuwa na taasisi au kampuni sawa ila we TU personally be care, hata kuuliwa kabisa
Hujui maana ya mikataba ya kughushi, mikataba fake?Anabadilika na mmesainishana mkataba wa namna ya ku run hio business na makubaliano?
Ila naamin only this happens in Tanzania
Asantemkuu..naona bongo kufanya business Yan sjuii uwe mafia unafanya Dili na mtu ila una HOFU unaweza akakujeuka..ndio mana Tanzania tabaka la maskin na matajiri halitoishaKibongo bongo jau sana, unaweza shangaa mtu anaiubadilikia mbele ta safari. Ubakuta sahihi zile zile za makubaliano anabadili kuwa ulimuzia hivyo kuwa makini sana, au labda kama una Kampuni na Nyaraka zimesajiliwa kwa jina hilo.
Sio kwamba haiwezekani, inawezekana sana ila tatizo Bongo Nyoso sana wa kumuamini ndio kipengele
Kuwa makini, kama gharama ya kiwanja na ya ujenzi viko sawa, huenda ikawa deal zuri ila mara nyingi ujenzi unakuwa na gharama kubwa sana hata mara 15 hadi 20 ya gharama ya kiwanja. Bado kuna gharama za utendaji kabla biashara kuchangamka.Wakuu mnaonaje biashara ya namna hii, kua Mimi Nina kiwanja sehem potential ila sababu ya kukosa fedha za kujenga, je ukiingia partnership na mtu ambaye ana fedha ambaye ataweza kujenga kitu kama lodge ama Air bnb...sana sana Air bnb, halafu kwenye mapato mkagawana asilimia, labda 50% kwa 50%
Je hio business Iko njema?
Sawa sawa shukran kwa Hilo mkuuKuwa makini, kama gharama ya kiwanja na ya ujenzi viko sawa, huenda ikawa deal zuri ila mara nyingi ujenzi unakuwa na gharama kubwa sana hata mara 15 hadi 20 ya gharama ya kiwanja. Bado kuna gharama za utendaji kabla biashara kuchangamka.
Hapo panahitaji uchanganuzi wa kifedha na jitahidi kuhusisha wanasheria kutoka pande mbili ili msizungukane
Ni wazo zuri ila.Wakuu mnaonaje biashara ya namna hii, kua Mimi Nina kiwanja sehem potential ila sababu ya kukosa fedha za kujenga, je ukiingia partnership na mtu ambaye ana fedha ambaye ataweza kujenga kitu kama lodge ama Air bnb...sana sana Air bnb, halafu kwenye mapato mkagawana asilimia, labda 50% kwa 50%
Je hio business Iko njema?