Hujamuelewa? Anasema kuwa zipo line za simu zilizosajiliwa kwa alama za vidole zinauzwa huko mitaaniHahahahah jamani hivi ni kweli unaandika hivi au unajifanyisha?
Lakini ameleta hoja nzito sana na ya msingi, aungwe mkonoUnaandika kwa kujifunza au ulikimbia umande?Ki-Faiza Fox,huwa mnaenda shuleni kusomea ujinga?
Hehehehehe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sidhani hata huko katani kama amefika na kama amefika ana tatizo la kutofautisha R na L