Kama kuna mtu ana ushuhuda wa kutapeliwa na Ontario aje hapa. Ontario anajulikana kwa jina na sura watu tuna mpaka mawasiliano yake. Kwanini wasimshitaki?Teh ...
Tangu yule kijana awatapeli hawa watu ...
Nawaoanea huruma
Hata kubet ni risk ila watu hawaachikumbe kila mtu anataka mwenzake yamkute ili wapate wakufutana machozi? Basi sawa!
Haya sawaKama kuna mtu ana ushuhuda wa kutapeliwa na Ontario aje hapa. Ontario anajulikana kwa jina na sura watu tuna mpaka mawasiliano yake. Kwanini wasimshitaki?
Tatizo mnaamini kila mnachosikia.Haya sawa
ONTARIO rahisi sana kutaja hilo jina sjui kisa ni Fupi...ila Sio mwenzao ndio mana wanashindwa pakushtaki hawajui hata waanzie wapi maana wanajua hawaezi mshinda...sababu kubwa namba 1 mwenzao ana PESA tayari anzisha battle na mwenye pesa upoteze pesa zaidi.Kama kuna mtu ana ushuhuda wa kutapeliwa na Ontario aje hapa. Ontario anajulikana kwa jina na sura watu tuna mpaka mawasiliano yake. Kwanini wasimshitaki?
Ontario ana pesa kuliko watu wote waliokwenda kwake? Tumia akili kufikiri acha kutanguliza hisia. Nani katapeliwa na Ontario? Na katapeliwa vipi?ONTARIO rahisi sana kutaja hilo jina sjui kisa ni Fupi...ila Sio mwenzao ndio mana wanashindwa pakushtaki hawajui hata waanzie wapi maana wanajua hawaezi mshinda...sababu kubwa namba 1 mwenzao ana PESA tayari anzisha battle na mwenye pesa upoteze pesa zaidi.
mmmmmh hhhm mimi huyu! kwani wateja wa dagaa na vitunguu wameisha hadi nije huko? Kwanza FOREX nshaona ili utusue ni lazima uisome uielewe tena na kitabu ushike..sasa mambo ya kurudishana class mi siiyataki.Unaogopa usichokijua tatizo watu wana trade FOREX bila kuwa na knowledge ya kutosha eti wanaita wanaenda download ela.
Kila kitu kina faida iwe forex hata kubet la msingi chukua muda come up with a stratergy na epuka tamaa