Microgynon
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 853
- 1,069
Makoko wapo fresh tu mkuu, nipo Nyasho huku.Wanasemaje mitaa ya makoko huko?
powa,nilikuwa hapo seminar. miaka mingi imepita
Poa mkuu uko pande zipi now kimkoa?powa,nilikuwa hapo seminar. miaka mingi imepita
Arusha
Sawa mkuu. Karibu tena Musoma huku [emoji23] nakomaa na wakurya nilowakuta since last year.Arusha
ha ha ha ha hao hawana shida,ila usipende kutembea usiku wanaweza kukurarua.Sawa mkuu. Karibu tena Musoma huku [emoji23] nakomaa na wakurya nilowakuta since last year.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] usiwaze mkuu siku hizi pametulia kiasi.ha ha ha ha hao hawana shida,ila usipende kutembea usiku wanaweza kukurarua.
Eeehh bado mkuutangu ujiunge 2016 hadi leo hii hujajua tu kuandika, acha kutuchoresha
thanks to god the almighty
Sawa nimekupataKwanza weka lengo moja kwa uzi mmoja.
Chagua, hapa unataka kujifunza kuanzisha uzi Matata au kupunguza ukali wa maisha au kutafuta mwanamke au kuwa busy PM man wanawake for flirting?
K’ Matata.