Tunaomba mkipita bar zenu ni pm wakuu ntakuja sitoomba bia ntatoa zawadi kulingana na hadhiya bia unayokunywa
Wakuu tulikuwa harusini kwenyemeza wakatoka watatu huyu mmoja bila kufikiri akatoka nae akaacha simu ya kakaetumpendwa baadaya kushtuka tukapiga sachi ya harakabila mafanikio..ile simu ilikuwa confg wana it mtajuazaidi....kaka aka renew line kuweka what sup mnaita akaona profile yake INA picha ya huyu binti...nikaweka jukwaa LA mchanganyiko member wetu mmoja akashauri from exp yake lazima ni barmed najukwaa lenye exp na haawa lakunisaidia ni hili
Tunaomba wenye kumjua aka kusaidia kupatanambayake
Cc it jf