Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,139
Mmmh baiskeli inatoa mtu roho, tena labda chakavu....shida mbaya, si bora arudi kijijini kulima?
arudi wakati kashakufa?Mmmh baiskeli inatoa mtu roho, tena labda chakavu....shida mbaya, si bora arudi kijijini kulima?
Atarudi akiwa kwenye sanduku, namaanisha kama shida imezidi aende akalime tu kuliko kuiba!arudi wakati kashakufa?
Na haya unaweza kuyasema kama hujawahi kusingiziwa/kuzushiwa kuiba!you may have the guts to condemn mob justice kama hujawahi kulizwa na wezi,but once you have fallen to be their victim, your anger towards them will be unmeasurably great!
you may have the guts to
condemn mob justice kama hujawahi kulizwa na wezi,but once you have
fallen to be their victim, your anger towards them will be unmeasurably
great!
Mmmh baiskeli inatoa mtu roho, tena labda chakavu....shida mbaya, si bora arudi kijijini kulima?
Na haya unaweza kuyasema kama hujawahi kusingiziwa/kuzushiwa kuiba!
Yaliwahi kunitokea mahali fulani kuna mtu kwa kukosa umakini alinizushia kumwibia simu yake....kwa bahati simu ilipopigwa ikaita ikiwa mifukoni mwake! Kwa mazingira yaliyokuwepo, ilikuwa ni haki kwa mwenye simu kudhania mimi ndiye niliyeiiba lakini kiukweli simu haikuibiwa.
Lilikuwa funzo kubwa sana kwangu katika utoaji wa haki na hasa haki ya kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa.
Asante mkuu. Tatizo hata kumjua (kwa uhakika) kuwa huyu ni kibaka/mwizi au la si rahisi mara zote. So katika hao wawili wanatuhumiwa kuiba baiskeli unaweza kukuta pengine ni mmoja tu ndio amehusika, huyo mwingine labda wala alikuwa hajui kinachoendelea!Mkuu pole sana kwa kunusurika na hicho kitu sio cha kuombea hata kidogo m2 ahisi umemuibia mbele ya umati wa watu au in any public.
Pia naomba nikufahamishe hakuna mtu fundi wa kujitetea na kuprove hajaiba kama Kibaka. Yani ukimpa nafasi ya kujitetea umeumia mkuu.
Asante mkuu. Tatizo hata kumjua (kwa uhakika) kuwa huyu ni kibaka/mwizi au la si rahisi mara zote. So katika hao wawili wanatuhumiwa kuiba baiskeli unaweza kukuta pengine ni mmoja tu ndio amehusika, huyo mwingine labda wala alikuwa hajui kinachoendelea!
Washambuliaji wengine wanafuata mkumbo tu, wala hawaulizi! Sasa katika huo mfano wangu ilikuwa ni bahati ilitokea katika mazingira ambayo nafahamika vizuri so haikuwa shida sana (inagwa nilikuwa embarrassed sana!).
Kwa vyovyote vile, hili la kuchukua sheria mikononi (hasa kama adhabu inayotolewa ni kifo), ni suala la hatari sana na kuna wengi wanauwawa kwa style hiyo bila ya hatia yoyote kabisa.