Mmmmmhhhhhhh.........

'mmmh,halaf nyi jamaa bhana heh heh'
 
Halafu ndo anakupa mkono tena anakushika kabisa kukuachia harufu mkononi, kisha anakuletea muhogo ama hindi la kuchoma ule, na pengine utakula bila kunawa huku unasifia kuwa lile hindi ama muhugo ni mtamu kwa kuchanganika na ladha ya uvundo wa mavi.....Afrika hii, tunalindwa na mengi tu. Pia kuna ile jibaba linakojoa uchochoroni bila hata kunawa mkipishana njiani anakupa mkono tena anakubonyeza kabisa kukuachia harufu, unarudi nyumbani watoto wanakukimbilia baba huyo unawagombeza kwanini wananuka kumbe inayenuka ni mikono yako na ile harufu ya pumbu za jibaba mwenzio.
 
dah mhogoooooo
 
Subiri! Hapo alikuwa ndo anatafuta chenji. Mama huyo anauza vitumbua na pale mtaani vitumbua vyake vitamu sanaaaaaa
 
ha ha ha ha ha ha funzo nzuri sana hakuna kushikana mikono
 
uuuuwwwwiiiii,,!! nakufa, mbavu zangu jamaniii,, eheheheheeeee,, mtatuua wenzenu! eeh hii kali! sasa aliyepiga hii picha ilikuwaje kama mm tu nimecheka mpaka machozi!! du! upaparazi kazi nzuri. asante kwa kupanua mbavu zangu du!
 
karibia nizimie. Nimecheka had mabu zinauma. Ametunza pesa hiko matakoni. Pesa ni chafu saana,wale akina mama wajasiliamali wanatunzia pesa kwenye hizi sacos. Ogopa pesa za wle wamama wnaonununa mazao
 
Labda amehisi homa, kwahiyo anacheki joto. Au alipita sehemu ya vibaka, kwahiyo akaamua kuweka pesa yake sehem salama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…