lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,467 Reaction score 9,053 Jan 24, 2012 #1 Habari wanajamvi, wanasema 'a picture speaks a million words', hapa nashani Kingo hakujua consquences za utani wake lakini sidhani kama huyu puppy atabakiza chochote kwenye hiyo 'dudu'
Habari wanajamvi, wanasema 'a picture speaks a million words', hapa nashani Kingo hakujua consquences za utani wake lakini sidhani kama huyu puppy atabakiza chochote kwenye hiyo 'dudu'
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jan 24, 2012 #2 Ha ha ha haaaah!!! Kumbe huyo mbwa alikasirika kaamua kumaliza hasira kwa kuifanyizia baiology...
Babuu blessed JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 1,362 Reaction score 491 Jan 24, 2012 #3 asante
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Jan 24, 2012 #4 MWAGA MBOGA NIMWAGE UGALI :juggle::juggle::juggle:
meeku JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 569 Reaction score 108 Jan 24, 2012 #5 Huyu kingo sasa anatukosea adabu wanaume.
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Jan 25, 2012 #6 Ha ha haaaa!! Inauma eeee! Kweli mzaha mzaha hutumbua usaha