SupuyaPweza
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 914
- 472
Unakaribisha maafa mkuu
Kwa jinsi mazao hayauziki!!! Nitapanda mpaka uwani!!! Naskia unafukuza majini huu mmea:what:
ni mmea wa dawa za kawaida sio za akina prof majimarefu...Kwa jinsi mazao hayauziki!!! Nitapanda mpaka uwani!!! Naskia unafukuza majini huu mmea:what:
Mkuu endeleza research hizo, kuna uwezekano wa kufua forex...Bdo nafanya research bnfs kuhus huu mmea,hilo ni jina la kilatin. Hiv vitu sio vya kupuuza. Maisha n nature,fuatilieni pia kuhusu olinga moleifera. Tuna tabia za kitown,ila tusiache nature,wazng watatucheka.
tunakemea mapepooooo pepooooo
Mkuu kuna miswada inapitishwa sasa huko Bungeni.....mkuu unakula dona 30 years fasta...... Ila kuna kale kanchi kameruhu watu wake watumie......
Ni mmea gani huu jamani tupe botanical name yake liwe zao la taifa kabisa kulingana na faida ulizoziainisha!
scientificaly unaitwa "MSUBA"
huu mmea mzuri ajabu mi nautumia mara moja moja umenisaidia sana mbali na kufukuza majini pia unakuepusha na mambo yote mabaya ila unategemea na kichwa cha mtu wengine wanakuwa vichaa cjui wanalogwa kwanza.Kwa jinsi mazao hayauziki!!! Nitapanda mpaka uwani!!! Naskia unafukuza majini huu mmea:what: