Unga wa viwandani ndiyo huwa naona una Ex date ila unga wa mtaani huu hata mwaka unatumia kupikia tu.Ivi na unga hua una expire date
Duh.....haya majanga sasa .....tutakula sumu mpaka tufanane na mapredatorUnga wa viwandani ndiyo huwa naona una Ex date ila unga wa mtaani huu hata mwaka unatumia kupikia tu.
AlienDuh.....haya majanga sasa .....tutakula sumu mpaka tufanane na mapredator
We jamaa ID yako ni nani mbona upo kila mahali? [emoji3]Hako katoto katakuwa kachawi.
Huo wa mtaani pia usipoutunza vzr unaharibikaUnga wa viwandani ndiyo huwa naona una Ex date ila unga wa mtaani huu hata mwaka unatumia kupikia tu.
Najaribu kutumia JF naona imenoga sana.We jamaa ID yako ni nani mbona upo kila mahali? [emoji3]
Huo wa mtaani pia usipoutunza vzr unaharibika
Ushamba huo mzee dingiNajaribu kutumia JF naona imenoga sana.
Ushamba huo mzee dingi
Huna kazi nyingine?Kwanini?
Unaharibika kwa miezi mitatu tuIvi na unga hua una expire date
[emoji16][emoji16][emoji16] Maisha yangu yanaenda kupitia biashara za mtandao sasa ukiona mtu mtandaoni usidhani hana kazi.Huna kazi nyingine?
Kwahiyo bishara yako ni kuchangia kila uzi?[emoji16][emoji16][emoji16] Maisha yangu yanaenda kupitia biashara za mtandao sasa ukiona mtu mtandaoni usidhani hana kazi.
Simu/Computer kwangu ni kama maji mwilini kila muda nalazimika kuwa nayo hadi saa 6 usiku..
Biashara ya kubetKwahiyo bishara yako ni kuchangia kila uzi?
Je ule wa Bashite nao unaexpire?Unaharibika kwa miezi mitatu tu
Unga wa mahindi wa kiwandani ni mwaka
Na ngano ni miezi 6 tu
Unga wa viwandani ndiyo huwa naona una Ex date ila unga wa mtaani huu hata mwaka unatumia kupikia tu.