Mmasai mmoja alipata chance ya kuzungumza msibani, akapewa kipaza sauti aseme japo machache,
akasimama akasema...
"musiba oyee"jenesa safii! Amependesa hajapendesa basi mwenye wifu ajinyonge kama marehemu.
Kwansa kabisa napenda sukuru marehemu sababu yeye nakufa nafanya sisi nakutana tunakura wali musuri,leo tumekunywa bia na ile maji nauswaga dukani.
Naomba keso ife ingine tuendelee kubaki hapa mpaka siku ya munada.Musiba oyeee!!!
Nimeikopi sehemu msije nitoa manundu humu ndani