Jamaa fulani wa kimasai alijisikia anaumwa hivyo akaenda hospitali kwa uchunguzi wa kitabibu, baada ya vipimo vya hapa na pale daktari alimuwekea kipima joto (thermometer) mdomoni ili aangalie joto la mwili wake, alipogeuka kuandika majibu kwenye daftari, majibizano yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Daktari: kipo wapi kipima joto kilichokuwa mdomoni mwako?
Mmasai: nimeshamesa nilifikiri ni pipi.
ilinibidi nijiondokee nisisikilize zaidi maana mbavu zilishaanza kuuma.
Basi ulipoondoka Mmasai akaomba maji ili yakisukume
maana kilikuwa kimekwama kwenye koromeo...
Basi ulipoondoka Mmasai akaomba maji ili yakisukume
maana kilikuwa kimekwama kwenye koromeo...
enhe vipi kilitoka sasa?