Usipashane na mama yako msikilize kiundani maana IPO picha Anaiona Ila wewe hauoni.Habari kwenu Wana, JF Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa Miaka 26.Mwaka Jana nimemaliza chuo na hivyo nikarudi nyumbani...
Hilo jina lako linamaanisha jinsi ulivyoHabari kwenu Wana, JF Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa Miaka 26.Mwaka Jana nimemaliza chuo na hivyo nikarudi nyumbani...
Sijaelewa. Hataki uajiriwe anataka ujitolee kwanza. Ujitolee wapi? Kufanya kazi za nyumbani au kwenye office za watu?Hayupo tayari kunisupport namwambia akubali niajiriwe na Mimi niishi maisha yangu Hataki anasema anataka nijitolee kwanza( Wenzangu wameajiriwa hawajajitolea naongea nao kwenye simu).
Soft guy🥲🤣🤣🤣Habari kwenu Wana, JF Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa Miaka 26.Mwaka Jana nimemaliza chuo na hivyo nikarudi nyumbani...
Anasema nisitake kuajiriwa kwanza Kwa ukali Sana anasisitiza nikajitolee kitu ambacho hakuna tofauti.Sasa kujitolea itatakiwa nimtegemee Tena kama mwanafunzi ila nikiajiriwa nazidi pata experience huku nalipwa chochote kitu nakuwa simtegemei.Sijaelewa. Hataki uajiriwe anataka ujitolee kwanza. Ujitolee wapi? Kufanya kazi za nyumbani au kwenye office za watu?
Na kama ni kwenye office za watu tofauti ipo wapi (kwa upande wake) ukiajiriwa na ukijitolea?
Okay sasa wewe ajiriwa kisha mwambie unajitolea.Anasema nisitake kuajiriwa kwanza Kwa ukali Sana anasisitiza nikajitolee kitu ambacho hakuna tofauti.Sasa kujitolea itatakiwa nimtegemee Tena kama mwanafunzi ila nikiajiriwa nazidi pata experience huku nalipwa chochote kitu nakuwa simtegemei.
Ikifikia swala la kujitolea na kutoka support ya kutumia hela Kila mwezi anakuwa mkali sana.