mim nlikua mdau mmja mstaarabu na mpole sana Sasa Kuna siku jamaa zang wawili wakaanz kuzichapa mbele ya darasa mhun nkaona sio Jambo jema nkaenda kuachanish sabab nilikua monitor,
Sas ile kuachanisha tu nkamshika mmja kwaiy jamaa mwngn akapata nafas akampa za uso mwenzak lahaula!!!! baada ya mda mfupi wote wawili wakanivaa mim Dadek wakanipa za kutosha nkatoka nje Kam mshale nkaenda kujipang,
Nilivolud maninaaaa nakumbuka siku ile nilitembeza kipigo kwa wale jamaa wote wawili nilipiga wotee kila wakija wanakutana na za uso ile nd siku yang ya mwsho kuw monitor pia na kuogopwa shule nzima enzi hizo stndrd 6 iyo,
bt toka siku iyo niliowapiga wot tukawa marafiki till nowdays
Na PGO pia.Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni muhimu sana
Nakumbuka Ilikua Ijumaa mida ya kutoka mapema Waislam wanaenda masjid, Darasa letu E ndo lilikua na watu vilaza na ndio wa mwisho kuhusiwa.
Kuna katoto Cha kiarabu nikakaandikia ujumbe wa kukapiga sound wakati Nampa kumbe jamaa wengine nje wananichora nao walikua wanafukuzia, bwana wee muda wa kutoka jamaa wakanibana Kona.
Zilipigwa ngumi mpaka nikawa naona Malaika wanapepea angani, ngumi moja ilitua puani mpaka PUTO la Kamasi likatokea..nikaona Cha kufia nn nikapata upenyo nikaokota mawe.
Nilirusha moja nikatoa mtu tochi ya maana wengine wakasepa, nikajipigia zangu saaafi...J3 kaleta mzazi nikala Viboko vya Haja.
Nyingine nilipigana na Dem nikampandisha sketi wadau wapate kuona Mema
Darasa lilikua linapiga zogo kinoma, ticha alivyokuja tukapiga kimya akasema watajwe au anachapa Darasa Zima....akagoma akasema Kuna watu walikua wanacheza mpira wa visoda darasani ndo akataja maninja wote tukapigika.
Huyo bidada ilikuwaje mpaka mukazichapa mkuu?
πππ Lkn nlivuliwa umonitor kw kichapo kikali kw staff nzim na kuzungushw kila darasa na kutangazw assemble
Mpaka wakakuvua umonitor!! inaonesha uligawa dozi sio ya kitoto
Darasa lilikua linapiga zogo kinoma, ticha alivyokuja tukapiga kimya akasema watajwe au anachapa Darasa Zima....akagoma akasema Kuna watu walikua wanacheza mpira wa visoda darasani ndo akataja maninja wote tukapigika.
Ticha alivyosepa tukamjia juu tukampa shit, nikamshika Lake Natron akawaka ndo tukazichapa
Ujana mkuu, watoto wa uswazi tulikua hatuelewi shule kwetu sehemu ya burudani
Mkuu inaonesha ulikuwa na kijiukorofi wakikukorofisha
Ukamshika lake natron
Haa ha ha, yaelekea alipewa umonita kwasababu ya upole wake (kama alivyo sema hapo ju) baada ya hili tukio walimu wakagundua kumbe hawakua sahihi
Mpaka wakakuvua umonitor!! inaonesha uligawa dozi sio ya kitoto
Uliposhtuka ndotoni mbona husemi kuwa ulikuwa umejikojolea kitandani?Nikipiga shule nzima hadi walimu kipindi hicho nipo darasa la pili
aaah ilikuwa mchanaUlioposhtuka ndotoni mbona husemi kuwa ulikuwa umejikojolea kitandani?
Vipi hamkumbushiani jinsi mlivozichapaππ movie ikirudiwa je una zile nguvu tena za kuwapiga wote wawili?ππππ mim nlikua mdau mmja mstaarabu na mpole sana Sasa Kuna siku jamaa zang wawili wakaanz kuzichapa mbele ya darasa mhun nkaona sio Jambo jema nkaenda kuachanish sabab nilikua monitor,