K Kisai JF-Expert Member Joined Apr 6, 2018 Posts 29,126 Reaction score 29,333 May 24, 2020 #21 Madame S said: hapo kwenye kijitolea kwa wengine wakat wewe hupat msaada toka kwao ndio kosa lilipo my friend ukitaka kufanikiwa kua na roho mbaya tu mjali anaekujal asiekujal tupa mbali. Click to expand... Tatizo lenu mkiwa mnatoa au kusaidia mnangojea shukrani, ndio maana mnafikia kuwa na vifundo na kuandika haya. Sisi Waswahili tunasema hivi "Tenda wema uende zako, usingoje shukrani". Huwezi kufanikiwa ukiwa na roho mbaya, labda kama hujui maana ya kufanikiwa ni ipi. Ahsante.
Madame S said: hapo kwenye kijitolea kwa wengine wakat wewe hupat msaada toka kwao ndio kosa lilipo my friend ukitaka kufanikiwa kua na roho mbaya tu mjali anaekujal asiekujal tupa mbali. Click to expand... Tatizo lenu mkiwa mnatoa au kusaidia mnangojea shukrani, ndio maana mnafikia kuwa na vifundo na kuandika haya. Sisi Waswahili tunasema hivi "Tenda wema uende zako, usingoje shukrani". Huwezi kufanikiwa ukiwa na roho mbaya, labda kama hujui maana ya kufanikiwa ni ipi. Ahsante.