Mlioni PM na mnaohitaji pia!

mapenzi ya kweli yanajengwa na power of love,haijalishi umetoka russia wala mtogole au mpwapwa
 
kweli asee muda wote huo!
we madame x kwani hujui safari ya russia ilivo mbali,sa ulitaka awajibuje hizo pm zao!
kwi kwi kwi hiyo RUSSIA itakuwa ya KUMPITIMBI nini alikuwa hana access na internet. kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
kaka yako hana laptop, basi hata simu ya mchina mbona zina internet? btw tujibu basi tuliokupm jaman wengina hatujakata tamaa tulijua utarudi tuu japo safari ni hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…