Mlioni PM na mnaohitaji pia!

Utapata kaka...achana na hao wanakubeza....hapo wengine naona kama sitaki -nataka hapo.........mke popote ....usivunjike moyo...
 
hakyamama KIKUNGU ungekuja na hizi swaga sa hz ningekuwa naitwa nyamizi!
muulize Kaunga zinavonikamata hiz!

Ha ha ha ha swaga hizo sio sisi wanyamwezi,snowhite,swaga zetu ni kubeba mizigo ya haja,eti ilumbuye Kaunga?Sie sio watu wa maneno mengi ni vitendo tu,eti Sikonge?.Dah lakini generation hii pasua kichwa,unatongozea kwenye keyboard lakini bado unag'ata kucha,kweli LIWELELO,wanyamwezi walisema.
 

ww utakandamizwa? utaumia? utamjuaje kuwa ni wife material? kwa taarifa yako hata shetani anajigeuza kuwa malaika wa nuru! na mziki wake utauona akisha confirm kuwa yy ndiye mama mwenye nyumba! utakuja tena humu kuomba ushauri!
 
ok, tumeshajua ulikuwa Russia na kaka yako anasoma Udaktari!
 
Jamani bahati ya Russia hiyo, japo uchumi mbovu ila si mbaya kutolea nuksi. Wadada changamkeni
 
cha!
kumbe na we ni daktari!
au ulivokuwaga russia ulikuwa unasomaga vitabu vya bro,ila bora ulikuwa unasoma vile vitabu manake lile baridi unafkr ungefanyaje kakangu!

Kwa kweli nimecheka mpaka basi loh
 
Kaka yako wewe si yupo tandale kwa mtogole wewe
 
Ha ha ha, akifikia point hii huwa nawabadilishana na jogoo
Nakula jogoo na wao wanachukua mtoto wa kiume wakamlee

Chinekeeee
Tufyakwa!
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu na siku ikifika atakukutanisha naye tu!!!! Subiri wa mtandaoni halafu siku moja utarudi hapa kwa majonzi!!!!! Acha kila kitu kifanyika kwa majira ya muumba. Mke au mume si mchezo, ni mtu wa kuishi naye maisha yako yote, unalala na kuamka naye, unajenga maisha pamoja, he/she is who you will be!!!!
 
yaani huko Russia sijui itakuwaje

kiswahili chenyewe kinaleta shida hivyo
 

Hamna muoaji zadidi ya "misifa"
 
haaaa kwaio ukisema unaenda russia basi watajaza Pm? mapenzi ya dhat uwe unacheka mfuko lol sio kupanda pipa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…