Dah! nahisi utakuwa umesomea Marketing wewe...unajua kulemba tangazo
Dah! nahisi utakuwa umesomea Marketing wewe...unajua kulemba tangazo
Kwanini usiwajibu waliotuma kwanza au safari ni addition to CV?
na kweli mwaya!hapana hata cjasoma marketing sema tu huwa nina admire sana kila ninachokifanya kiwe kinaufasaha labda itokee errors za kawaida tu
No Madame x sema ni muda mrefu sema huenda hata wamekata tamaa maana ni muda mrefu sana
Dah! nahisi utakuwa umesomea Marketing wewe...unajua kulemba tangazo
hapana hata cjasoma marketing sema tu huwa nina admire sana kila ninachokifanya kiwe kinaufasaha labda itokee errors za kawaida tu
AHAHHAHAHHHAHAHHHHHH(nimecheka kwa sauti mjue!) Kaizer kuja huku,hiv jando na unyago si mlikuwa mnafundishwa kusololesha,sasa ilikuwaje tukaviacha i see!
on sasa hapa watu wanatokelezeya na mistari ya kakangu yuko russia anasomea udaktari!sasa ndo nimerudi!
ehehehhehhe!
Kongosho nikipata mtoto wa kiume ntamleta umlee asee!
na kweli mwaya!
achana nae huyu watu8 anataka zitokee errors zisizo za kawaida ukakosa mke bure mwaya!watu wengine sio kabisa!
hem pisha huko watu tunatoa updates,ala!
vizuri sana kucheka maana kitaalamu umezalisha kitu kina itwa endophins go and look for benefit of it hutoacha kucheka