Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Sijui kama watakujibu hao ukawaNilishasema UKAWA haina dira wala mwelekeo. Wengi walikwenda kwa kumtegemea Mtu na Siyo Taasisi. Mtu aliposhindwa sasa wanarudi. Wengine moja kwa moja wengine kwa kujichelewesha ili kufuta aibu! Mliobaki huko karibuni tu CCM. Tutawapokea tu maana ndio tuliowalea muda wote huu. Huko Vyeo mlivyoahidiwa hakuna tena. Njoni tumsaidie Rais wetu kuijenga Tanzania Mpya badala ya kupoteza muda kwenye longo longo za Upinzani!
Nakubaliana na hilo kujenga "nchi mpya'' what a shame!!!!Nilishasema UKAWA haina dira wala mwelekeo. Wengi walikwenda kwa kumtegemea Mtu na Siyo Taasisi. Mtu aliposhindwa sasa wanarudi. Wengine moja kwa moja wengine kwa kujichelewesha ili kufuta aibu! Mliobaki huko karibuni tu CCM. Tutawapokea tu maana ndio tuliowalea muda wote huu. Huko Vyeo mlivyoahidiwa hakuna tena. Njoni tumsaidie Rais wetu kuijenga Tanzania Mpya badala ya kupoteza muda kwenye longo longo za Upinzani!
Usijivike ujinga ww viongozi wako wa nchi wanajua fika ni kwa namna gani upinzani unavyokuwa na ndiyo maana kila kukicha mkuu wa kaya kwa kulitumia jeshi la polisi na kile kinyago kinachofuruga bunge anajitahidi kuzima upinzani lakini wapi!!!Nilishasema UKAWA haina dira wala mwelekeo. Wengi walikwenda kwa kumtegemea Mtu na Siyo Taasisi. Mtu aliposhindwa sasa wanarudi. Wengine moja kwa moja wengine kwa kujichelewesha ili kufuta aibu! Mliobaki huko karibuni tu CCM. Tutawapokea tu maana ndio tuliowalea muda wote huu. Huko Vyeo mlivyoahidiwa hakuna tena. Njoni tumsaidie Rais wetu kuijenga Tanzania Mpya badala ya kupoteza muda kwenye longo longo za Upinzani!