Hii ni hatari, hebu mwenye taarifa zaidi atujuze yaliyojiri huko. Kuna nini cha siri hivyo kiasi kwamba yote haya yalifanyika? Na jengo kubwa kiasi hiki linakuwa na mlinzi mmoja tu usiku? Naamini pia hapo jirani kuwa walinzi, je hakukuwa na dalili zozote za mienendo isiyokuwa ya kawaida?