masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Ohooo miss neddy unamuona best yako masai dada?
Mkuu Utafiti Masai dada huyu hapa
View attachment 161610
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Lundenga asipokupa taji hapa naandamana mpaka state house
Ohooo miss neddy unamuona best yako masai dada?
Lundenga asipokupa taji hapa naandamana mpaka state house
Nakuunga mkono utafiti,lazima tuandamane masai dada anastaili taji
Lundenga asipokupa taji hapa naandamana mpaka state house
hahahaha nimemuona sidhani kama atapita kwenye mchujo miss kitongoji
acha wivu mke wa Excel
Umemuona eheee?Duhh hizo zilivosimama,nahisi unaweza kuzitumia kama sindano kushonea nguo!!
Mwenye saa, saa ngapi saivi?
kinga ni bora kuliko tiba Bantulady kam this wei
Umemuona eheee?Duhh hizo zilivosimama,nahisi unaweza kuzitumia kama sindano kushonea nguo!!
Umemuona eheee?Duhh hizo zilivosimama,nahisi unaweza kuzitumia kama sindano kushonea nguo!!
hahahahaha uzi unachomekwa wapi
unamaanisha miss neddy?
Hahahaaaaaaaa miss neddy unasema,samaki akunjwe angali mbichi eheee??Haya nimekoma,wala sio saa sita wala nini,saa nane hizo tena za usiku!!Hahahaaa ila ukweli unajulikana
unamaanisha miss neddy?