Mkutano wa wanasimba kesho Marufuku

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
4,201
Reaction score
2,003
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Kinondoni Afande Kenyela. Amesema mkutano huo hautambuliwi na uongozi halali wa Simba na pia jeshi la polisi halijataarifiwa rasmi. Atakayehudhuria mkutano huo atashughurikiwa kwa nguvu zote za kisheria.Source-Radio Clouds this evening My take: Siasa in action!
 
Na nimesikia tumegongwa 3-0!Mwaka wa tabu.
 
huyo ukute rizimoko kashatumia sirikali ili simba tuzidi shuka..nyambaf
 
toka lini mikutano ya vilabu inaomba kibali polisi huyu msomali na huyo polisi wanaleta mambo yao ya siasa kwenye mpira matokeo yake tutasikia watu wamekimbilia mahakamani badala ya mgogoro kupungua ndio utazidi kuongezeka
 
toka lini mikutano ya vilabu inaomba kibali polisi huyu msomali na huyo polisi wanaleta mambo yao ya siasa kwenye mpira matokeo yake tutasikia watu wamekimbilia mahakamani badala ya mgogoro kupungua ndio utazidi kuongezeka

Mkuu haoo hata mimi naona wanaukuza zaidi mgogoro badala ya kuumaliza. Haki ya kikatiba ya mtu kutoa maoni yake au kusikiliza maoni ya wengine ipo wapi hapo?
 
nimemsikiliza kenyela kwa makini ,lkn nimegundua hakuwatenndea haki wanachama waliotaka kuendesha ule mkutano. kitu cha msingi alipaswa kuwaita wote mh RAGE na wale wanachama wanaotaka mkutano. mbivu na mbichi ziwekwe pale. muongozo ukiwa katiba ya simba. vinginevyo polisi inaonekana inatumiwa na upande mmoja.
 
Tangu nimezaliwa nasikia migogoro kwenye vilabu vya Simba na Yanga tu,
Nimeanza kuamini timu hizi mbili ndo zinaua soka la Tanzania.Wachawi tu hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…