Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Makamanda tujitokeze kwa wingi
Kamanda kweli hali ngumu JF kwa Chadema huu uzi wa mkutano wa Chadema mpaka sasa hivi saa mbili usiku kwa saa za Africa Mashariki hata wachangiaji watu hawajafika.
Kamanda kweli hali ngumu JF kwa Chadema huu uzi wa mkutano wa Chadema mpaka sasa hivi saa mbili usiku kwa saa za Africa Mashariki hata wachangiaji watatu hawajafika itabidi Chadema kwanza ndiyo awe mchangiaji kila post.
Mkutano umedoda, Wana Arusha wameichoka Chadema
Upo kwenye mkutano?Mkutano umedoda, Wana Arusha wameichoka Chadema
CHADEMA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Peoples' powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
October kitaeleweka tuu
Kamamda ommy nasikia wale wa lowasa wanachanganyikiwaTutaendelea kuwakimbiza ile mbaya wamesahau 5 bila hatutatingisika na watoto wa Lumumba waliouza utu wao kwa buku 7
Kamamda ommy nasikia wale wa lowasa wanachanganyikiwa
Hakuna aliyepigwa nakukaribisha kesho ujione siasa za kistarabu za chademe keshoJuzi Ngarenaro mliwapiga watoto wa shule kwenye mkutano wenu nyie wanywa viroba. Sasa mnataka kuleta fujo Themi? Huku tunaishi wastaarabu. Nendeni Unga Limited