Hivi magamba wanawezaje kuwahadaa wananchi wa Kaloleni ambao walitaka kuwahamisha baada ya kuuza eneo la makazi yao bila kuwashirikisha na bila kuwalipa fidia hadi pale kamanda Lema aliposimama imara sana kuwatetea na kupinga mpango dhalimu uliokuwa ukifanywa na magamba!
Wananchi wa Kaloleni piga za uso hao maccm wanaojipitisha pitisha huko kwenu.