Mkutano Wa CHADEMA Butiama

Kanyaga twende........freedom is coming very soon. ...
 
Wameikubali Chadema inayomtukana mwl nyerere acha kutumia kilevi kikali asubuhii
 
Hongereni wananchi wa kijiji cha Bumangi kwa kujitambua.
 
Wameikubali Chadema inayomtukana mwl nyerere acha kutumia kilevi kikali asubuhii

Lini chadema iliwahi kumtukana mwalimu?siku zote chadema imekuwa ikifuata mienendo na mifumo ya utawala bora kama baba wa taifa alivyokuwa anataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…