kuna barabara,kuunganisha mkoa na mikoa mingine,1. shule za sekondari kila kata, 2. huduma za afya zimeborshwa ikiwa ni pamoja na kujengwa hospitali ya rufaa mkoani singida,wakulima wamepewa trekta za bei nafuu pamoja na power tilla, mikopo nafuu kwa makundi ya vijana na kina mama....sio mnalalamika na kutaja makabila ya watu mmezoea uchaga tu na ukaskazini