Bonus ni kawaida mzee duniani kote; biashara ya mpira siyo kazi ya kufagia barabara za halmashauri ya Jiji Ilala, au Temeke wanaoongoza kwa UchafuHizi timu zetu zina uongo uongo mwingi.
Simba walitangaza kuwa watapokea 4.5bil kwa mwaka kutoka M-BET kama main sponsor, ajabu kwenye kusoma Mapato ya Mwaka 22/23 M-BET anatoa 2.5bil
Ilitamkwa kuwa Vunjabei kama Main KIT sponsor atatoa 1bil kwa Mwaka ila leo imesomwa kuwa Vunjabei atatoa 750Mil.
A One Bottlers, watengenezaji wa Mo Xtra wanatoa 150mil.
Emirate Aluminium 100
Iweje MO Xtra awekwe kifuani afu atoe hela ndogo?
Kwanini Asiwekwe Begani kama Emirates?
Wachezaji wanalipwa mishahara ila wameandikiwa Bonus ya 800mil, kuwa wanalipwa kila mechi wanayocheza, kuna umuhimu gani wa bonus wakati wachezaji wanajua majukumu yao?
Kwamba kila mechi 20mil
Kuwa Maji ya Kunywa kwa ajili ya Kambi zote ni 150mil
Azam TV wanalipa 2.5bil kwa ajili ya haki za Matangazo
Bodi ya Ligi itawalipa 400mil
Bajeti haijatimia sababu mapato ni machache hivyo MO ameahidi kuwapa 3.9bil
Servicebya gari 26mil
Maswali yangu
1. Kwanini Club iwalipe wachezaji kwa kufanya kazi wanayopaswa ifanya? Kwanini bonus isiwe kwenye kutimiza lengo fulani? Mf Kuchukua Ligi kuu, Bonus iwe 200mil, Kufika Robo Final 300mil, Kufika Nusu 400mil, Kufika Final 500mil, kuchukua Kombe 800mil.
Ukiangalia hapo Club itakuwa yatoa Bonus kwa mafinikio fulani na hata ikitokea Wamechukua kombe bado Club itatumia 1bil kama Bonus
2. Hiyo service ya 26mil ni service gani? Maana bus lafanyiwa service na Mdhamini wa bus.
3. Hayo maji ya zaidi ya 100mil ni maji gani?
4.Kwanini Simba isijenge hostel ili ikwepe kulipa hizo milioni 400 kila mwaka?
5. Allowance ya 100mil kwa wachezaji wanapo safiri, hii ni sawa ila audit yahitajika.
6. Usajili wa 2bil+ Huu usajili ndo huu huu au kuna mwingine?
kujibu swali lako la kwanza..... hebu kajifunze kwanza kuhusu motivation kisha uje tuendelee na majibu ya maswali mengine.Hizi timu zetu zina uongo uongo mwingi.
Simba walitangaza kuwa watapokea 4.5bil kwa mwaka kutoka M-BET kama main sponsor, ajabu kwenye kusoma Mapato ya Mwaka 22/23 M-BET anatoa 2.5bil
Ilitamkwa kuwa Vunjabei kama Main KIT sponsor atatoa 1bil kwa Mwaka ila leo imesomwa kuwa Vunjabei atatoa 750Mil.
A One Bottlers, watengenezaji wa Mo Xtra wanatoa 150mil.
Emirate Aluminium 100
Iweje MO Xtra awekwe kifuani afu atoe hela ndogo?
Kwanini Asiwekwe Begani kama Emirates?
Wachezaji wanalipwa mishahara ila wameandikiwa Bonus ya 800mil, kuwa wanalipwa kila mechi wanayocheza, kuna umuhimu gani wa bonus wakati wachezaji wanajua majukumu yao?
Kwamba kila mechi 20mil
Kuwa Maji ya Kunywa kwa ajili ya Kambi zote ni 150mil
Azam TV wanalipa 2.5bil kwa ajili ya haki za Matangazo
Bodi ya Ligi itawalipa 400mil
Bajeti haijatimia sababu mapato ni machache hivyo MO ameahidi kuwapa 3.9bil
Servicebya gari 26mil
Maswali yangu
1. Kwanini Club iwalipe wachezaji kwa kufanya kazi wanayopaswa ifanya? Kwanini bonus isiwe kwenye kutimiza lengo fulani? Mf Kuchukua Ligi kuu, Bonus iwe 200mil, Kufika Robo Final 300mil, Kufika Nusu 400mil, Kufika Final 500mil, kuchukua Kombe 800mil.
Ukiangalia hapo Club itakuwa yatoa Bonus kwa mafinikio fulani na hata ikitokea Wamechukua kombe bado Club itatumia 1bil kama Bonus
2. Hiyo service ya 26mil ni service gani? Maana bus lafanyiwa service na Mdhamini wa bus.
3. Hayo maji ya zaidi ya 100mil ni maji gani?
4.Kwanini Simba isijenge hostel ili ikwepe kulipa hizo milioni 400 kila mwaka?
5. Allowance ya 100mil kwa wachezaji wanapo safiri, hii ni sawa ila audit yahitajika.
6. Usajili wa 2bil+ Huu usajili ndo huu huu au kuna mwingine?
Kinondoni mzee maana ni kuchafuBonus ni kawaida mzee duniani kote; biashara ya mpira siyo kazi ya kufagia barabara za halmashauri ya Jiji Ilala
Ujanja ujanja mwingiHizi timu zetu zina uongo uongo mwingi.
Simba walitangaza kuwa watapokea 4.5bil kwa mwaka kutoka M-BET kama main sponsor, ajabu kwenye kusoma Mapato ya Mwaka 22/23 M-BET anatoa 2.5bil
Ilitamkwa kuwa Vunjabei kama Main KIT sponsor atatoa 1bil kwa Mwaka ila leo imesomwa kuwa Vunjabei atatoa 750Mil.
A One Bottlers, watengenezaji wa Mo Xtra wanatoa 150mil.
Emirate Aluminium 100
Iweje MO Xtra awekwe kifuani afu atoe hela ndogo?
Kwanini Asiwekwe Begani kama Emirates?
Wachezaji wanalipwa mishahara ila wameandikiwa Bonus ya 800mil, kuwa wanalipwa kila mechi wanayocheza, kuna umuhimu gani wa bonus wakati wachezaji wanajua majukumu yao?
Kwamba kila mechi 20mil
Kuwa Maji ya Kunywa kwa ajili ya Kambi zote ni 150mil
Azam TV wanalipa 2.5bil kwa ajili ya haki za Matangazo
Bodi ya Ligi itawalipa 400mil
Bajeti haijatimia sababu mapato ni machache hivyo MO ameahidi kuwapa 3.9bil
Servicebya gari 26mil
Maswali yangu
1. Kwanini Club iwalipe wachezaji kwa kufanya kazi wanayopaswa ifanya? Kwanini bonus isiwe kwenye kutimiza lengo fulani? Mf Kuchukua Ligi kuu, Bonus iwe 200mil, Kufika Robo Final 300mil, Kufika Nusu 400mil, Kufika Final 500mil, kuchukua Kombe 800mil.
Ukiangalia hapo Club itakuwa yatoa Bonus kwa mafinikio fulani na hata ikitokea Wamechukua kombe bado Club itatumia 1bil kama Bonus
2. Hiyo service ya 26mil ni service gani? Maana bus lafanyiwa service na Mdhamini wa bus.
3. Hayo maji ya zaidi ya 100mil ni maji gani?
4.Kwanini Simba isijenge hostel ili ikwepe kulipa hizo milioni 400 kila mwaka?
5. Allowance ya 100mil kwa wachezaji wanapo safiri, hii ni sawa ila audit yahitajika.
6. Usajili wa 2bil+ Huu usajili ndo huu huu au kuna mwingine?
Hujui hata unaandika nini?Motivation kama bonus wanapewa wakishinda au kutoa droo na hawapewi timu ikifungwa!Motivation kwenye kazi yako?
Motivation huja baada ya Mafanikio
Tatizo hawa gongowazi hawajuii hata wanaandika nini?Ukiwauliza wao mapato na matumizi yao toka yule kibaraka wa GSM aingie hawajui.Kazi kukaza shingo na shughuli za Simba.Inferiority complex at its best.Kwenye mbet. Hiyo report iliyosomwa imeishia desemba 2022. Kwahiyo ametoa nusu. Nusu nyingine nia kuanzia januari mpaka mwezi wa 6 .
Kwahiyo subiri riport ya mwisho wa mwaka huu ndio utajua m bet ametoa sh ngapi
We jamaa huna akili, ukisikia 2022/23 unahisi nini?Tatizo hawa gongowazi hawajuii hata wanaandika nini?Ukiwauliza wao mapato na matumizi yao toka yule kibaraka wa GSM aingie hawajui.Kazi kukaza shingo na shughuli za Simba.Inferiority complex at its best.
Mbona kama ishu ya manzoki imewauma watu wa rangi ya nyokaTulisha Sema mda mrefu M bet wanatoa 2.5 b Kwa mwaka lakini Kuna ma Mbumbumbu walikataa katakata.
Kitendo Cha kumleta Manzoki wakati usajili umesha pita ni jambo la fedheha si Kwa Simba tu ila inaonyesha jinsi kama Watanzamia tunavyo fikiri.
Ingekuwa kipindi Cha usajili ninge waelewa ila Kwa wakati huu ni fedheha kubwa.
Yaani Mimi ni Yanga lakini naona aibu, ningekuwa na uwezo ningezuia taarifa za Manzoki kuhusishwa na mkutano Mkuu zisiende kwenye mitandao ya kijamii.
Yaani taarifa hizo zibaki humuhumu.
sasa huo 2023 umeisha? Ndio mana umeambiwa usubiri report ijayo ndio utajaji. Mbet ameingia simba katikati ya mwaka, so ametoa kulingana na huduma ya mwaka.We jamaa huna akili, ukisikia 2022/23 unahisi nini?