Mkurugenzi UDSM computing Centre (UCC )- Dr. Minja ahusishwa kashfa nzito

Bila Wachaga nchi itatikisika
Uchagga wa Mkurugenzi Minja umesaidia nini hapo kwa maendeleo ya Taifa. Kama tangu nchi ipate uhuru, ndo kumekuwa na usemi kwamba Wachagga ndo wamejaa Serikali, Je mbona bado ni nchi masikini kabsa (Nchi za ulimwengu wa 3).

Let's not be TRIBALISTS" guys. Masuala ya kabila la mtu siamini km ni chachu ya kuleta maendeleo ya nchi. Kwa sasa ni kum_judge mtu INDIVIDUALLY na sio TRIBE.

[emoji117] We must ask ourselves why we believe in Chagga while they have hold senior job posts in both public services and Civil services but still we are economically limping??
 
Inasemekana kufungwa kwake ni sababu binafsi..na malizote zilizokuwa mbezi beach branch zimeharibika kwa kunyeshewa na mvua plu jua
Kwahiyo na pale City Centre itakuwaje wakati tumeapply juzi juzi tu hapa?
 
Hafu still haohao ndo wanajiita wapinzani wa ccm au wanataka chance la kuibomoa hii nchi vizuri
 
WACHAGA bwana! Tehe Tehe Tehe!

tatizo la ucc, ukisoma toka magazeti yaanze kuandika , shida kubwa inasemekana ni huyo Mkurugenzi Dr Minja. hiyo nafasi aliyopewa ni kama vile hana uwezo nayo. halafu inaelekea hana mahusiano mazuri na wafanyakazi..naona wanalalamika anawanyanyasa. ngoja tusubiri uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili zitahishije.
 
Dr. Minja na watu wa aina yake ndio binadamu wanaochangia kudidimia kimaendeleo Taifa hili.
Imefikia wakati tuwekane bayana. Watu wa aina hii ni hatari sana kwa maendeleo ya Taifa. Ubinafsi, Ukabila, Wizi na Chuki ndio misingi ya watu aina ya Dr. Minja.
Awamu hii dawa yao imepatikana na ndio maana tunawaona hata humu JF wakisambaza Chuki za Ukabila.
 
gazeti la RAI la leo nao wameandika pia kuhusu huyo mkurugenzi....inasemekana anawanyanyasa sana wafanyakazi.
Bahati mbaya sana maudhuli ya habari hiyo yako sawa katika magazeti yote mawili. Nimefuatilia kwa undani naleta taarifa toka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi UCC
 
 

Attachments

Someni hiyo kitu, tuache majungu ya watu wachache wanaotetea maslahi binafsi
 
Muandishi amesha pewa hongo " ili achafue watu
 

Ndugu yangu hata Magufuli anasemwa kama unavyomsema Minja, lakini nimefanya uchunguzi wa kina tatizo ni watu watatu tu pale ucc mmoja hana cheti cha kidato cha nne, mwingine ni dereva anayelalamika Minja anajiendesha kwa gari binafsi badala ya gari ya ofisi, kwa taarifa zisizotia shaka nilizopata kutoka kwa mtu wa karibu wa huyo dereva ni kwamba anataka awe anasafiri ili apate posho za safari na akimuendesha boss hachoki kama akifanya shughuli za kawaida za ofisi (nimekumbushwa kuwa Minja halipwi mafuta bali ameona ni mojawapo ya mbinu ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Wa mwisho ni kiongozi wa THTU ambaye magazeti yamemnukuu, ukipitia barua nilizopata toka kwa watu wake pamoja za UCC utagundua kuna uwalakini mkubwa katika mawasilisho. Pamoja na yote nadhani Ujumbe toka kwa Bodi ya Wakurugenzi inajibu hoja lukuki. Hayo ya ukabila na wizi vyombo ya usalama vihusishwe vifanye kazi yake vyema

Nawsilisha
 
Yani ukisoma humo ndani ni mparanganyo....yani ni kama mtu anatafutiwa tuhuma au makosa...
 
Hafu still haohao ndo wanajiita wapinzani wa ccm au wanataka chance la kuibomoa hii nchi vizuri
Uliona wapi wachagga wakawa wapinzani wa ccm, wapinzani wa ccm ni vyama vya siasa kama cuf, act
 
Kuna walimu wawili hapo UCC na majina yao yamefanana. Mmoja anaitwa Mtui na mwingine Mturi. Hawa watu wana knowlegde kali kwenye mambo ya Programming (hasa kwenye UNIX). Yaani knowledge yao huwa naitamani kama ningekuwa nayo mimi, wakati huu ningekuwa niko NASA au APPLE. Yaani ni wabaya hakuna mfano. Mungu awabariki!
 
Nenda popote tz ukimkosa mchaga usikae hilo eneo halifai kabisa !!!vilevile ukiona mtu anawatenga hawa jamaa subiria anguko lake linanukia ,,Kama tunapoelekea sasa huna haja ya kutoa povu subiri tu utaona Muda ni mwalimu mzuri!!! They are blessed but poorers and stupids hate them
 
Nenda dunia hii yote ukimkosa mchaga ondoka japafai kushi
 
Mchaga kwa tz ukimlaani umefungiwa duniani ni sawa na Mimi ninyooshe mkono kwa mwisrael
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…