Gari ya mkurugenzi wa TBC Ayubu Rioba i.epata ajali wakati akielekea mkoani Kigoma ambapo watu wawili wanaelezwa kupoteza maisha.
Ambapo katika ajali hiyo mkurugenzi ameumia kidogo, hii nikwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma ACP Martin otieno.