Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,210
Ohooooo mnaanza kukumbusha tena mambo ya Kaenerugaba Msemakweli.mbunge wa muhambwe felix mkosamali amemuambia henry shekifu akome kuwaita watoto wadogo kwani hakuna mtoto mdogo anayeweza kuigaragaza ccm vibaya pia aeleze kuusu ile ripoti ya msema kweli kua ana vyeti vya kufoji kua Dkt
Shekifu ni bure kabisa!
Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali amemuambia Henry Shekifu akome kuwaita watoto wadogo kwani hakuna mtoto mdogo anayeweza kuigaragaza CCM vibaya pia aeleze kuhusu ile ripoti ya Msemakweli kuwa ana vyeti vya kufoji kuwa Dkt (PhD).
Wakuu natamani kujua aliongea nini hasa mpk Mkosamali akapeleka mashambulizi........ kwa waliofuatilia kwa ukaribu tujuzane pls.