Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,553
u and Nyani Ngabu...mnampenda sana masogange..
Ule ushepu acha kabisa bhana......
Hebu tupia basi picha zake hapa
NN kuhonga kipaji, kuna wanamme wanahonga hadi mtu amaumwa.
Hujaskia mwanamme kamjengea au kumnunulia binti house, ni zaidi ya dola elfu 50.
Sema pia anahonga dola elfu 50 kwa kazi gani!?
Huh? BN katokea wapi tena?
Halafu hulali wewe? Au una insomnia?
Nisamehe bure, nimejichanganya. Nime edit.
Uwe unalala na wewe hah!!!!!!
Huh? NN katokea wapi tena?
Halafu hulali wewe? Au una insomnia?
Nimejikuta nacheka aisee...Naona corozan ni kifaa zaidi huyu vera jina tu
Ebana vipi....tayari ile kitu?
He heee watu hawalaliiii?
Wengine daku...wewe je?
Ha haaa kumbe bac nami dakuuu nasindikizaaa
Wamsindikiza nani..?