H harelio New Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Apr 24, 2013 #1 habari watanzania nahitaj mkopo wa haraka sana wa milioni moja dhamana yangu ni gari nina kadi na mkataba wa mauzo yan nilipolinunua.
habari watanzania nahitaj mkopo wa haraka sana wa milioni moja dhamana yangu ni gari nina kadi na mkataba wa mauzo yan nilipolinunua.
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Apr 24, 2013 #2 Gari aina gani?
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,862 Reaction score 2,156 Apr 24, 2013 #3 nenda kampuni inaitwa EFL wako sinza mapambano.. utapata fasta. ila unatakiwa urudishe na riba ya ths 300,000 kwa muda wa miezi 3.
nenda kampuni inaitwa EFL wako sinza mapambano.. utapata fasta. ila unatakiwa urudishe na riba ya ths 300,000 kwa muda wa miezi 3.
D DJ Imma JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 221 Reaction score 100 Apr 24, 2013 #4 harelio said: habari watanzania nahitaj mkopo wa haraka sana wa milioni moja dhamana yangu ni gari nina kadi na mkataba wa mauzo yan nilipolinunua. Click to expand... ni PM tuongee fasta
harelio said: habari watanzania nahitaj mkopo wa haraka sana wa milioni moja dhamana yangu ni gari nina kadi na mkataba wa mauzo yan nilipolinunua. Click to expand... ni PM tuongee fasta
H harelio New Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Apr 25, 2013 Thread starter #5 neggirl said: nenda kampuni inaitwa EFL wako sinza mapambano.. utapata fasta. ila unatakiwa urudishe na riba ya ths 300,000 kwa muda wa miezi 3. Click to expand... ok thanx ngoja nijaribu
neggirl said: nenda kampuni inaitwa EFL wako sinza mapambano.. utapata fasta. ila unatakiwa urudishe na riba ya ths 300,000 kwa muda wa miezi 3. Click to expand... ok thanx ngoja nijaribu
H harelio New Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Apr 25, 2013 Thread starter #6 Enny said: Gari aina gani? Click to expand... toyota gaia
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Apr 25, 2013 #7 harelio said: toyota gaia Click to expand... ni PM tuongee
G grim Member Joined Jan 25, 2013 Posts 98 Reaction score 4 Apr 27, 2013 #8 ni pm ur number nitakucall nikupe masharti ya ofisi yetu na upate mkopo haraka