Mkopo

kwe2tu

Senior Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
138
Reaction score
226
Kwa mtumishi ambae amewahi kukopa kwenye Bank ya stanibac atupe uzoefu.
Nimetuma maombi ya mkopo leo ni wiki ya pili hamna kitu. Kila ukienda majibu hayaridhi.
Je ndo kusema hawana pesa ndio maana wanafanya hivyo au ndio utaratibu wao.
Au huwa inachukua muda gani mpk ukapata pesa uliyoomba. Maana hapa kzn kwangu tuliomba wengi lkn wengine wamekanceli juzi wakaenda Bank nyingi leo wamepata shida ya stanibac ni nini???
 
Kwa nini stanbic ? wana riba nafuu au vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…