Gozybusness
Member
- Jul 24, 2022
- 23
- 29
Tunauza na kukopesha viwanja mbagala chamaz mbande bei 1,000,000/=
Maongez yapo kutembelea site ni bure
Contact us 0768041126
Maongez yapo kutembelea site ni bure
Contact us 0768041126
maelezo bado yapo chini toa maelezo yaliyo kamilikaNjoo umilik kiwanja chako sasa 0689357572
Hiyo gharama ya sh. 1,000,000/= ni kwa eneo/kiwanja chenye ukubwa gani? Tafadhali kamilisha tangazo kwa kuweka maelezo yote muhimu.Tunauza na kukopesha viwanja mbagala chamaz mbande bei 1,000,000/=
Maongez yapo kutembelea site ni bure
Contact us 0768041126View attachment 2308838
Ahsante mkuu kwa maon yako, ila nimeweka namba kwa mtu anae taka kujua zaidHiyo gharama ya sh. 1,000,000/= ni kwa eneo/kiwanja chenye ukubwa gani? Tafadhali kamilisha tangazo kwa kuweka maelezo yote muhimu.
● NEW PROJECT NEW SITEmaelezo bado yapo chini toa maelezo yaliyo kamilika
Ahsante kwa comment bossHakuna kiwanja kwenye kata ya chamazi.
Iwe Mbande, Rufu, Kisewe, Kiponza, Chamazi magengeni kwa bei hiyo.
Hawa jamaa wanawauzia kata ya tambani, wilaya ya mkuranga, tarafa ya Mkuranga kwenye vijiji kama Tambani, Mwanadilatu, Kimbangulile, Mlamleni na Mipeko.
Kwa Sasa biashara imeshamiri Kijiji Cha Mipeko ambacho kimepasuliwa na bonde la mto mzinga, kifupi ni eneo la vilima na mabonde.
Kipindi Cha masika mawasiliano yanakata kati ya Mipeko na kata ya chamazi hivyo wakazi kukosa mahitaji.
Hakuna daraja na mto haueleweki, hata mvua zikinyesha Kisarawe ujue huku kwenda mjini mpaka uogelee.
Wanachonikela hawaelezi uhalisia.
Je, Nilichoeleza ni Cha Uongo?Ahsante kwa comment boss
Je, Nilichoeleza ni Cha Uongo?
Elezeni ukweli wateja wenu, sio unawaambia chamazi mbagala Mbande.s
Siwez kusema ni uongo au ukwel maana uo ni mtazamo wako mm ndo ninae uza na ninajua nauza wap ila kwakuwa ww umeamua kukoment kwa miemuko na kushindwa kueshim kaz za watu anyway nakujua vizur ivo siwez kukulaumuJe, Nilichoeleza ni Cha Uongo?
Elezeni ukweli wateja wenu, sio unawaambia chamazi mbagala Mbande.





Umemaliza kila kitu. SafiUnanijulia wapi wewe?
Acha utapeli siku nyingine
Elezeni taarifa sahihi kuwa viwanja vilipo hasa hapa jamii forum.
Kuwa vipo tarafa ya Mkuranga,wilaya ya mkuranga katika Kijiji A au B.
Ili ufike jitahidi panda gari za Kuelekea Mbande.
Ukishuka utapanda bajaji au pikipiki.
Eneo hili limetengana na Mkoa wa Dar es Salaam kwa bonde la mto Mzinga.
Mto Mzinga una matawi yaliyokata baadhi ya vijiji hasa Mipeko , Kimbangulile na Mlamleni.
Daraja lililojengwa ni kuunganisha na Kijiji Cha Tambani, kata ya Tambani.
Kama ni kitongoji Cha Mwanadilatu uwaambie bonde la Mzinga limekata pia hivyo hakuna matumaini ya daraja kujengwa Leo au kesho.
Mteja utakaye mpata atakuwa na A au B taarifa za awali kabla ya kuja kushuhudia, achilia mbali kununua.
Nadhani nimeshauri kitaalamu.
Kama unanifahamu nadhani wafahamu hayo maeneo nayajua vyema na Nina viwanja katika vijiji tajwa hapo juu
Fix zinaogopwa usilete ubishi kujazia nyama muhimuAhsante mkuu kwa maon yako, ila nimeweka namba kwa mtu anae taka kujua zaid