Hizo taarifa ni za kweli. Cha Msingi nenda kwenye Bank yako ya CRDB hapo utapewa Maelezo ya kutosha. Ila cha Muhimu kutokana na Maelezo yao unatakiwa uwe na Chanzo maalumu cha Marejesho kama vile kazi ya Kuajiriwa au Biashara yenye Lesseni na Kutambulika vyema.
Wahi tawi lolote la CRDB utapew Maelekezo Sahihi.