Mkopo wa haraka

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212
Habari, popote au yeyote wanapotoa mkopo kwa masharti nafuu tafadhali
 
Duh kichwa cha habari nkaingia fasta. Kumbe na we unatafta!!
 
Matangazo mengine hayaeleweki,unataka kiasi gani?dhamana,uko wapi,mawasiliano,mimi ningekuelewa na kukusaidia
 
wahi tawi lolote la Tanzania Postal Bank ....
 
Weka vizuri tangazo mkuu,

Unataka kiasi gani??? Utalipaje?? Dhamana nk.

Hii inarahisha mtu kukupa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…