Mkopo wa haraka unahitajika

Mkopo upo uko tayari kutoka kitu cha sumaku?
 
Uzi tayari???

Maliza kuosha vyombo kwanza
Mkopo upo uko tayari kutoka kitu cha sumaku?
 
Uzi tayari???

Maliza kuosha vyombo kwanza
Mkopo upo uko tayari kutoka kitu cha sumaku?
 
Nimefuatilia post zako.... Uneumizwa kihisia kwenye mahusiano unatafuta kulipa kisasi na umeshatumia pesa nyingi kwa waganga na hujapata suluhu bado
Ni katika kuhangaika huko nadhani umekutana na wajanja na wanataka kukupiga ndio maana uko unatafuta mkopo wa haraka
Nisikilize hakuna dawa ya kichawi inayoweza kufanya revange kwenye mahusiano kama na wewe ulikuwa na vimeo vyako... Utaishia kutapeliwa na kuambiwa utoe pesa ya kusafishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…