Habari zenu wakuu hivi ni mikoa IPI yenye wataalamu Wa jadi yaani waganga yaani Nina tatizo kubwa waganga wengine hawawezi kunisaidia zaidi wananilia pesa zangu tu. Shida yangu nahitaji mgaga anayeweza kumshikisha adabu mtu maana kila ninapozunguka napewa dawa ya mapenzi yaana mabwana kibao...