Mkopo- Muongozo

Mkopo- Muongozo

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
Habari,

Wakuu wapi napata mkopo nikiwa na kadi ya gari tu?
 
Kuna mtu katangaza whatsaap ngoja nicheki namba ake nikupe
Dhamana ni gari
 
nakushauri jikaze sana kopa kwa ndugu jamaa na marafiki..

loan sharks wanalitamani gari lako hilo.... hawana nia ya kukusaidia...

Habari,

Wakuu wapi napata mkopo nikiwa na kadi ya gari tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom