A agwambo halisi Member Joined Jan 22, 2014 Posts 42 Reaction score 2 Apr 26, 2014 #1 Kuchukua mkopo na kuanzisha biashara au kuchukua mkopo na kuanza ujenzi kama una kiwanja tayari kipi bora kianze wadau, karibuni kwa maoni na mawazo huru
Kuchukua mkopo na kuanzisha biashara au kuchukua mkopo na kuanza ujenzi kama una kiwanja tayari kipi bora kianze wadau, karibuni kwa maoni na mawazo huru
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Apr 26, 2014 #2 chukua mkopo ili utengeneze pesa. ukijenga nyumba mkopo utaurejeshaje?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Apr 27, 2014 #3 na kama wachukua mkopo hakikisha una biashara ambayo imeshasimama kwa kiasi flani. mikopo sio mizuri kwa kuanzia biashara, mizuri kwa kuboresha.
na kama wachukua mkopo hakikisha una biashara ambayo imeshasimama kwa kiasi flani. mikopo sio mizuri kwa kuanzia biashara, mizuri kwa kuboresha.
A agwambo halisi Member Joined Jan 22, 2014 Posts 42 Reaction score 2 Apr 27, 2014 Thread starter #4 Ahsante kwa ushari
A agwambo halisi Member Joined Jan 22, 2014 Posts 42 Reaction score 2 Apr 27, 2014 Thread starter #5 Mkuu HUSNINYO vipi kama ni employment loan