benjamin bosco Member Joined Jun 27, 2019 Posts 12 Reaction score 7 Jul 3, 2019 #1 Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI [emoji120] [emoji120] [emoji120]
isaacsendama Member Joined Feb 21, 2016 Posts 76 Reaction score 21 Jul 3, 2019 #2 benjamin bosco said: Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI [emoji120] [emoji120] [emoji120] Click to expand... Inategemeana na programme uliyochaguliwa eg Education especially in science subjects wanapata mkopo
benjamin bosco said: Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI [emoji120] [emoji120] [emoji120] Click to expand... Inategemeana na programme uliyochaguliwa eg Education especially in science subjects wanapata mkopo
benjamin bosco Member Joined Jun 27, 2019 Posts 12 Reaction score 7 Jul 3, 2019 Thread starter #3 Duuh me nko IT
Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,983 Reaction score 3,670 Jul 3, 2019 #4 HAKUNA UWEZEKANO HUO
benjamin bosco Member Joined Jun 27, 2019 Posts 12 Reaction score 7 Jul 3, 2019 Thread starter #5 Duuh poa mwamba