Mkopo mdogo/ laptop inauzwa

sema unapatikana wapi na mawasiliano yako, watu watakupataje sasa bosi.
 
Wadau habari zenu, nahitaji mkopo mdogo wa laki moja nitalipa 130,000 mwisho wa mwezi nimepata emergency dhamana naweka laptop. Pia laptop hiyo inauzwa bei nzuri,nitaweka specifications zake soon
Ni pm, nikupatie mkopo fasta.
 
Wadau habari zenu, nahitaji mkopo mdogo wa laki moja nitalipa 130,000 mwisho wa mwezi nimepata emergency dhamana naweka laptop. Pia laptop hiyo inauzwa bei nzuri,nitaweka specifications zake soon
Weka picha ya hiyo laptop tuione ina hari gani?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…