M molecule2004 Member Joined Jun 28, 2025 Posts 25 Reaction score 57 Jul 24, 2026 #1 Za muda huu ndugu zangu poleni na majukumu ya siku ,Kwa anaefahamu utaratibu wa kupata mkopo tena kwa mwanafunzi aliesitishaga masomo kwenye degree akiwa mwaka wa kwanza sasa anataka kurudi chuo kikuu katika fani nyingine,ni taratibu gani zakufuata
Za muda huu ndugu zangu poleni na majukumu ya siku ,Kwa anaefahamu utaratibu wa kupata mkopo tena kwa mwanafunzi aliesitishaga masomo kwenye degree akiwa mwaka wa kwanza sasa anataka kurudi chuo kikuu katika fani nyingine,ni taratibu gani zakufuata