Taasisi nyingi za fedha zimekosa biashara kwa kiwango kikubwa kutokana na kufanya biashara kimazoea bila kuangalia zitafaidika kwa kiwango gani masharti nafuu ni yale pande mbili (mkopaji na mkopeshaji) wanapoafikiana kufanya biashara kila mtu akafaidika ndo maana siku hizi kila mtaa kuna 'loan sharks'- wakopeshaji makatili kwa tafsiri isiyo rasmi.