Mkopo 100% lakini hana pesa ya field

Anaweza kuappeal lakini aandike barua kujieleza kwa bodi kwa nini anafikiri asipopewa hiyo hela hataweza kusurvive field
 
mwambie aridhike na alichopata , kuna wenzake wana appeal hawajapata chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…