Mkono kuishiwa nguvu ni ugonjwa gani na tiba yake ni dawa gani?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Nawaomba watalamu wa tiba ninasumbuliwa Na mkono kuishiwa nguvu kuanzia began I mpaka kwenye vidole.Je nini tatizo? Je Tiba yake ni Dawa gani? Naomba ushauri wenu.
 
Halina muda maalumu Na ni muda mfupi sana hali inarudi saw a naomba msaada wako
 
Nawaomba watalamu wa tiba ninasumbuliwa Na mkono kuishiwa nguvu kuanzia began I mpaka kwenye vidole.Je nini tatizo? Je Tiba yake ni Dawa gani? Naomba ushauri wenu.
Kwetu huwa katiiti tiba yake ni ndogo saana mkuu ni pm
 
Back
Top Bottom