GE2025 Mkoa wa Simiyu: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka

Mkoa wa Simiyu una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7
  1. Jimbo la Bariadi
  2. Jimbo la Busega
  3. Jimbo la Itilima
  4. Jimbo la Meatu
  5. Jimbo la Maswa Magharibi
  6. Jimbo la Kisesa
  7. Jimbo la Maswa Mashariki

Pia soma > PreGE2025 - Simiyu: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…